MAONESHO YA WIKI YA MAJI YAENDELEA SIKU YA TATU MJINI DODOMA
Maafisa wa Wizara ya Maji katika Banda la Maji Mijini.
Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Sera na Mipango, Mwinyiheri Ndimbo akitoa maelekezo
kwa wageni waliotembelea Banda la Sera na Mipango, Mawasaliano
Serikalini na Sheria.
Paineto
Makweba kutoka Wizara ya Maji, akitoa maelekezo kwa Wanafunzi waliofika
kwenye Banda la Sera na Mipango, Mawasiliano Serikalini na Sheria.
EmoticonEmoticon