WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA. MACHI 18,2014
Waziri
wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akisalimiana na Mkurugenzi ya
Halmashauri Wilaya Chamwino Mkoani Dodoma Adrian Jungu.baada ya
kuwasili kuzindua mradi mkubwa wa maji wenye uwezo wa kuwahudumia wakazi
zaidi ya elfu 13 uliogharimu zaidi ya shilingi milioni 300.kilichopo
katika kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DODOMA
kushoto
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally, akiwa na Waziri wa
Maji Profesa.Jumanne Maghembe wakizindua kima cha maji.
Muonekano wa kisima kichozinduliwa. Kulia Waziri
wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe (katikati), Mkuu wa Wilaya ya
Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally, na kushoto Afisa Tarafa Chamwino
Mvumi Mohamed Mfaki akielekea kuzindua bomba la maji.
Waziri
wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, pamoja na Mkuu wa Wilaya ya
Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally wote kwapamoja wakifungua bomba la
maji kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya maji
Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji chaMvumi makulu Mkoani Dodoma.
Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiongea na wana kijiji wa Mvumi makulu Mkoani Dodoma.
EmoticonEmoticon