NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AKIONGEA NA WATUMISHI
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Olegabriel akiongea na Watumishi wa Wizara naTaasisi zake
katika Kikao cha cha kujadili Fursa mbalimbali kwa Maendeleo ya Wizara
kilichofanyika Jijini Dar es Salaam leo
EmoticonEmoticon