Mbunge
wa Jimbo la Temeke, Abbas Matemvu akikagua timu ya Veterani ya Yombo
Kilakala wakati wa uzinduzi wa michuano ya maveterani ya Ujirani Mwema,
katika Kata ya Yombo Kilakala, Temeke, Dar es Salaam juzi. Timu 12
kutoka sehemu mbalimbali za jiji zilishiriki kwenye michuano hiyo. Timu
hiyo ilicheza na Kigamboni Veterani.
Mtemvu
akikagua timu ya Kigamboni Veterani. Kushoto ni Diwani wa Kata ya
Makangarawe, Victor Mwakasendile.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mtemvu
akihutubia wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo, ambapo aliahidi
kuyadhamini kwa timu zote kuzinunulia jezi za TMK. Kushoto ni
Mwakasendile na Mungia Mbwana mratibu wa michuano hiyo.
Ni mtanange kwa kwenda mbele
Hapiti mtu hapa
Sasa nawatoka
Wanachi wakishuhudia mpambano huo
Timu za Yombo Makangarawe Veterani (BLUU) wakicheza na Kigamboni Veterani huku wananchi wakishuhudia
Mlinda mlango wa Kigamboni akiwania mpira na mchezaji wa Yombo Makangarawe
Mtanange ukiendelea. CHANZO SUFIANI MAFOTOBLOG
EmoticonEmoticon