ZITTO KABWE AFANYA MAKUBWA KASULU, KIGOMA ..... AITEKA NA KUACHA HISTORIA ..... TAZAMA KILA HATUA ILIYOJILI ...

December 23, 2013
Imewekwa Sunday, December 22, 2013 Saa 10:15 Usiku.


Mh.Zitto Kabwe akiwashukulu sana Wanakasulu kwa namna walivyojitokeza kwenye mapokezi hapa kasulu

Ni maelfu ya Wananchi wapo kwenye maandamano ya kumpokea Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh.Zitto kabwe.

Picha inazungumza wazi namna Msafara ulivyomkubwa sana na umejaa vijana,akina mama na wazee pamoja na watoto wanaotoa sapoti ya kutosha kwa MH.Zitto Kabwe

 
Maduka Yamefunga watu wote wanaelekea eneo la Mkutano,Hii ni wazi Zitto ni mtu wa watu,Ni mbunge anayekubalika Kigoma na Tanzania


Ushishangae kuona kwenye msafara huu Mkubwa hapa Kasulu Pia hakuna Bendera za chadema,zaidi utaiona moja moja,Ni kwasababu wanakigoma wanasema "ZITTO NI MBUNGE WA KITAIFA,MTETEZI WA WATANZANIA,ZITTO KWANZA,CHADEMA BAADAE"

Mambo yapo hivi hapa Kasulu

Waandishi wa habari pia wapo wengi sana kwaajili yakuchukua matukio na habari



j

Asanteni wanakigoma


Moja ya Mbango katika mapokezi ya Mh.Zitto Kabwe hapa Kasulu alipopigwa mawe Dr.slaa na kukimbia

Vijana wanatoa sapoti ya Kutosha kwa Mbunge wao zitto

UJUMBE WA CHADEMA"Demokrasia Itashshinda Dhidi ya UHAFIDHINA"


Vijana wakiwa wamejipanga kumpokea Zitto kwenye Vijiji vya Kwanza Kwanza kabla huja fika Kasulu Mjini KM.2 nyuma.

Mambo ndio haya,Wanasema NABII HAKUBALIKI KWAO? Zitto ametikisa Kigoma

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »