Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN ambao ni wachapishaji
wa magazeti ya Serikali kama Daily News na Habari Leo Bw Gabriel Nderumaki
(kulia) akiwa na aliyekuwa Miss Tanzania, Hoyce Temu pamoja na Afisa Uhusiano
kutoka office ya Rais anayeshughulikia mazingira, Lulu Musa wakisoma
kijitabu cha matokeo ya wahitimu wa mahafali ya 15 ya Chuo kikuu
cha Mtakatifu Augustine yaliyofanyika jana jijini Mwanza. Wote watatu
walihitimu shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Umma katika chuo hicho.
Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN ambao ni wachapishaji
wa magazeti ya Serikali kama Daily News na Habari Leo Bw Gabriel Nderumaki (katikati)
akijadiliana na wahitimu wenzake wa shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Umma
wakati wa mahafali ya 15 ya Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine yaliyofanyika
jana jijini Mwanza.
Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN ambao ni
wachapishaji wa magazeti ya Serikali kama Daily News na Habari Leo Bw Gabriel
Nderumaki (kushoto) akiwa pamoja na wahitimu wenzake wakati wa mahafali ya 15
ya Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustine yaliyofanyika jana jijini Mwanza. Bw Nderumaki
alihitimu shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Umma.
EmoticonEmoticon