Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kanda ya kaskazini,Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari mapema jana kuhusu kupotea kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kwekitui Lushoto kupitia chama hicho Miraji
Kassimu ,kulia kwa katibu huyo ni Katibu wa Baraza la Vijana Chadema mkoa wa Tanga Jonathani Baweje na kushoto kwake ni Afisa kutoka chama hicho kanda hiyo Amina Thaguti "Aminata"
EmoticonEmoticon