Mh.Mkuu wa Mkoa maelezo ya Pikipiki hizi ni haya.

April 22, 2013
MKUU wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu,Chiku Gallawa akisikiliza taarifa ya makabidhino ya Pikipiki Honda 250 CC kutoka kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Hassani Kalombo wanaoshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Halima Dendego,Katibu Tawala wa Mkoa,Benedict Ole Kuyan na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga,Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi nchini (ACP) Constatine Massawe,Picha na Mwandishi Wetu,Tanga.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »