-Lengo kila Mtanzania amudu gharama
Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts
SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA UONGOZI NA USIMAMIZI WA ELIMU KUPITIA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA SHULE
habariNA EMMANUEL MBATILO, BAGAMOYO
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeendelea kuimarisha uongozi na usimamizi wa elimu nchini kwa kutoa mafunzo ya uongozi, usimamizi na utawala bora kwa walimu wakuu wa shule za awali na msingi pamoja na maafisa elimu kata kutoka Tanzania Bara.
RAIS SAMIA ATOA BILIONI 16.696 KWA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU MKOANI TANGA KUPITIA MRADI WA SEQUIP.
habariSerikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025, imetoa jumla ya shilingi bilioni 16.696 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) mkoani Tanga.
Tanzania na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano wa Kisekta
habariKatibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo, alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andrew Lentz, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani hapa nchini.
Subscribe to:
Posts (Atom)