Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki Kongamano kuhusu Kukuza Huduma za Afya Ulimwenguni kupitia Diplomasia lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili (MUHAS) jijini Dar es Salaaam Julai 8, 2025.
Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts
TPDC YANG'ARA KATIKA MAONESHO YA 49 YA SABASABA, YASHINDA TUZO YA MAZINGIRA
habariSHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeibuka mshindi katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, maarufu kama Sabasaba, baada ya kutuzwa kwa mchango wake mkubwa katika kulinda mazingira kupitia matumizi ya nishati safi.
REA YAJIZATITI KUFIKISHA LENGO LA TAIFA KWENYE NISHATI SAFI YA KUPIKIA
habari-Mkurugenzi Mkuu REA abainisha hatua zinazochukuliwa
WANUFAIKA MRADI WA ARDHI -TANGA WATEMBELEA BANDA LA REA KUJIFUNZA
habari-Waomba ushirikiano katika suala la Nishati Safi ya Kupikia
Subscribe to:
Posts (Atom)