Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa wito kwa wananchi kote nchini kuchangamkia fursa zilizopo kwenye mnyororo mzima wa uzalishaji na usambazaji wa bidhaa za Nishati Safi ya Kupikia ili kujiongezea kipato sambamba na kuhifadhi na mazingira na kulinda afya.
Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts
SERIKALI KUKAMILISHA UJENZI WA VETA WILAYA ZOTE
habariWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe profesa Adolf Mkenda amesema serikali inaendelea na ujenzi wa vyuo vya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika Wilaya 64 nchini.
UMOJA WA ULAYA WAIPA KONGOLE REA
habari-Kwa kuwa kinara katika kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia
REA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA KITAIFA YA NISHATI JADIDIFU
habari-Elimu ya matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia yaendelea kutolewa
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI KUENDESHA MAFUNZO MAALUM KWA MAWAKILI WA SERIKALI
habariNA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
OFISI ya Wakili Mkuu wa Serikali inatarajia kuendesha mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kutoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar ambapo mafunzo hayo yatafanyika Juni 2 hadi Juni 4, 2025 katika ukumbi wa mikutano wa AICC mkoani Arusha.
Subscribe to:
Posts (Atom)