DKT.SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM

November 05, 2025
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, leo Jumatano, Novemba 5, 2025.


Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya uteuzi wa wagombea wa nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na nafasi ya Spika na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.






Share this

Related Posts

Previous
Next Post »