Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mhe. Antonie Tshisekedi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Mhe. Therese Kayikwamba Wagner amewasili nchini.
![]() |
Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam Mhe. Wagner amelakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano na Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Dennis Londo.
Akiwa nchini Mhe. Wagner anatarajia kuwasilisha ujumbe maalum wa Mheshimiwa Rais Tshisekedi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
![]() |
EmoticonEmoticon