NIRC YAFANYA UPEMBUZI YAKINIFU KUPATA ENEO LA SKIMU YA UMWAGILIAJI BONDE LA MBELEKESE

September 08, 2024

 


Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese lililopo katika halmashauri ya wilaya ya Iramba mkoani Singida.

Aidha Mndolwa amewaelekeza wataalamu wa Tume kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya kupata sehemu ya kujenga bwawa, uchimbaji wa visima pamoja na miundombinu ya umwagiliaji ili kumwagilia bonde hilo lenye ukubwa wa hekta 43,000 kwa ajili ya kunufaisha wakazi wa kata 6 za Ulemo, Ndago, Mbelekese, Mukulu, Kaselya na Kiengege.  

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »