Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akimsikiliza
Kmamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Lucas
Mkondya, leo kwa ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzumgumza
na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati
wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na waandishi
wa habari nje ya Makao Makuu ya Polisi mkoa wa Mtwara, akiwa kwenye
ziara ya kikazi mkoani humo yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja
na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati wanapotekeleza
majukumu ya kazi za Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima
ya kijeshi alipowasili mkoa wa Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku moja
yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja na kuwakumbusha wajibu wao wa
kutenda haki wakati wanapotekeleza majukumu ya kazi za Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na askari wa
Kikosi cha Kutuliza Ghasia mkoa wa Mtwara, mara baada ya kukagua gwaride
maalum lililoandaliwa kwa ajili yake. IGP Sirro, yupo mkani humo kwa
ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo la kuzumgumza na askari pamoja
na kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki wakati wanapotekeleza
majukumu ya kazi za Polisi. Picha na Jeshi la Polisi.
EmoticonEmoticon