Afisa anayeshughulika na Program ya Elimu wa Shirika la Brac Tanzania Manola William akizungumza wakati wa halfa hiyo |
Meza Kuu wakifuatilia matukio mbalimbali |
Programme Organizer wa Shirika la Brac Tanga,Scholastica Olomi akizungumza katika halfa hiyo |
AMkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa kulia akimkabidhi vifaa vya kushonea (Charahani) Fatma Abdallah kushoto ni Afisa anayeshughulika na Program ya Elimu Brac Tanzania.Manola William |
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa kulia akimkabidhi vifaa vya kushonea Mariam Time kushoto ni Afisa anayeshughulika na Program ya Elimu Brac Tanzania.Manola William
Baadhi ya wahitimu wakitoa ushuhuda wao na kulishukuru shirika hilo
Baadhi ya wazazi wa wasichana waliohitumu mafunzo hayo
Picha ya Pamoja
Afisa anayeshughulika na Program ya Elimu wa Shirika la Brac Tanzania Manola William akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mipango yao
EmoticonEmoticon