Afisa
Matekelezo kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Albert Feruzi akitoa
elimu kuhusu Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa wanafunzi wa Chuo cha St.
John Dodoma hivi karibuni.
Meneja
wa Mpango wa uchangiaji wa hiari Bi. Mwajaa Sembe akiwaelezea wanafunzi
umuhimu wa kujiwekea akiba kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS)
Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mrisho Mpoto akiwahamisasha wanafunzi wa Chuo cha St. John kujiunga na Mfuko huo.
Mtoa
mada Bw. Husein Chanzi akitoa Dondoo kwa wanachuo wa St. John kuhusiana
na mambo muhimu ya kuzingatia pindi wanapokwenda katika usaili
'interview'
Baadhi
ya wanachuo wa St. John wakiwa wanaendelea kusikiliaza mambo mbalimbali
yanayohusiana na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambapo wanachuo 241
walijiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS)
Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Mrisho Mpoto akiwahamisasha wanafunzi wa Chuo cha Mipango kujiunga na Mfuko huo.
Baadhi
ya wanafunzi wa Chuo cha Mipango Dodoma wakiwa wanaonesha fomu zao za
kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kupitia mpango wa uchangiajin wa
hiari (PSS) ambapo wanachuo 351 walijiunga na mfuko huo.
Wanachuo
cha Mipango Dodoma wakiendelea kujaza Fomu za Kujiunga Mfuko wa
Pensheni wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS)
Wanachuo wa Chuo cha Mipango Dodoma wakiwa wanasikiliza mambo mbalimbali Muhimu kuhisiana na Mfuko wa Pensheni wa PSPF
EmoticonEmoticon