Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya kina
cha maji katika kituo cha kufua umeme cha Mtera kutoka kwa Meneja wa
Kituo hicho Mhandisi John Sikauki wakati akiwa njiani kuelekea Dodoma
baada ya kumaliza shughuli za kuzindua Kikosi Kazi cha Taifa cha
kunusuru ikolojia ya Bonde la Mto Ruaha Mkuu mjini Iringa. (PichA na
Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyakazi
wa kituo cha kufua umeme cha Mtera akiwa njiani kuelekea Dodoma baada
ya kumaliza shughuli za kuzindua Kikosi Kazi cha Taifa cha kunusuru
ikolojia ya Bonde la Mto Ruaha Mkuu mjini Iringa. (PichA na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
EmoticonEmoticon