Mkurugenzi wa Miradi wa Internews Tanzania, Wenceslaus Mushi akizungumza na washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika majadiliano ya Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mmoja wa wadau wa habari (kulia) akiwasilisha mada katika mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania. Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania. Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliandaliwa na taasisi ya Internews Tanzania Sehemu ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Wamiliki na Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii (TBN-Bloga ) akiwa katika mjadala huo. Mmoja wa wadau wa habari (katikati) akiwasilisha mada katika mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Miradi wa Internews Tanzania, Wenceslaus Mushi. Mwanasheria na Mwanahabari, James Marenga akiwasilisha mada kwa washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika majadiliano ya Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu katika vikundi leo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya washiriki wa mjadala wa pamoja kati ya wanahabari na wawakilishi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wakijadili Sheria ya Mtandao na ile ya Takwimu leo jijini Dar es Salaam.
___________________________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com.
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
EmoticonEmoticon