Katibu
Mkuu wa chama cha CNDD-FDD cha Burundi Evariste NdayishimIye
akimzawadia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kihifadhio cha vitu
mbalimbali cha jadi ya Burundi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika
leo Oktoba Mosi 2016, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini
Dar es Salaam, Kushoto ni Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka.
Katibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD cha Burundi Evariste NdayishimIye
akimzawadia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kihifadhio cha vitu
mbalimbali cha jadi ya Burundi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika
leo Oktoba Mosi 2016, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini
Dar es Salaam, Kulia ni Mnadhimu Mkuu wa CNDD-FDD, Gerase Ndabirabe na
Wapili ni Kaimu Balozi wa Burundi hapa ncini, Prefere Ndayishimiye na
Kushoto ni Balozi David Kapya na Msemaji wa CCM Christopher Ole
Sendeka.
Katibu
Mkuu wa chama cha CNDD-FDD cha Burundi Evariste NdayishimIye
akimzawadia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kihifadhio cha vitu
mbalimbali cha jadi ya Burundi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika
leo Oktoba Mosi 2016, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini
Dar es Salaam, Kulia ni Mnadhimu Mkuu wa CNDD-FDD, Gerase Ndabirabe na
Wapili ni Kaimu Balozi wa Burundi hapa ncini, Prefere Ndayishimiye na
Kushoto ni Balozi David Kapya, Katibu wa Habari na Mawasiliano CNDD-FDD
Nancy Mutoni, na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka.
Katibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD cha Burundi Evariste NdayishimIye
akimzawadia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ngoma ya Burundi
inayotambulika Kimataifa,Burundi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika
leo Oktoba Mosi 2016, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini
Dar es Salaam, Kulia ni Mnadhimu Mkuu wa CNDD-FDD, Gerase Ndabirabe na
Wapili ni Kaimu Balozi wa Burundi hapa ncini, Prefere Ndayishimiye na
Kushoto ni Balozi David Kapya, Katibu wa Habari na Mawasiliano CNDD-FDD
Nancy Mutoni, na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka.
Msemaji
wa CCM, Christopher Ole Sendeka akimshukuru Katibu wa Habari na
Mawasiliano wa CNDD-FDD, Nancy Mutoni baada ya mazungumzo ya Katibu Mkuu
wa CCM na Katibu Mkuu wa CNDD-FDD
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsindikiza mgeni wake Katibu Mkuu wa
CNDD-FDD, Evariste Ndayishimiye, baada ya mazungumzo
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimtoa katika jengo, kwenda kupanda
gari Kaibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD Evariste Ndayishimiye, baada ya
mazungumzo yao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini
Dar es Salaam leo
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiagana na Kaibu Mkuu wa chama cha
CNDD-FDD Evariste Ndayishimiye, baada ya mazungumzo yao katika Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam leo
Msemaji
wa CCM Christopher Ole Sendeka akiagana na Mnadhimu Mkuu wa chama cha
CNDD-FDD, Gerase Ndabirabe baada ya mazungumzo ya Katibu Mkuu wa CCM na
Katibu Mkuu wa CNDD-FDD leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
Dar es Salaam. Kulia ni Balozi David Kapya
Msemaji
wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiagana na Kaimu Balozi wa Tanzania
hapa nchini Prefere Ndayishimiye baada ya Mazungumzo baina ya Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kulia) na Katibu Mkuu wa CNDD-FDD, leo
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Gari
lililombeba Katibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD Evariste Ndayishimiye,
likiondoka Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es
Salam, baada ya mazungumzobaina ya Katibu Mkuu huyo na Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana (Kulia). PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO.
EmoticonEmoticon