Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati),
Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi wakiwapungia waumini wa
Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya (hawapo pichani) wakati walipokuwa
wanawasili katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji
cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Masaunia
ambaye alikuwa mgeni maalum katika mkutano huo wa 47 wa jumuiya hiyo
nchini, aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini
kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii kwa kuwapatia
waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao kiroho.
Kulia ni Kiongozi Mkuu wa Jumuiya hiyo nchini, Sheikh Tahir Mahmood
Chaudhry. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na
waumini wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya katika Mkutano wa 47 wa
jumuiya hiyo nchini unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya
hiyo, uliopo Kitongoji cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar
es Salaam. Kushoto ni Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi,
anayefuata ni Kiongozi Mkuu wa Jumuiya hiyo nchini, Sheikh Tahir Mahmood
Chaudhry. Masauni katika hotuba yake aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na
Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na
maovu katika jamii kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya
kuboresha tabia na maadili yao kiroho. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia
meza kuu) akimsikiliza Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi
wakati alipokuwa anatoa hotuba yake katika Mkutano wa 47 wa Jumuiya ya
Waislamu wa Ahmadiyya unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya
hiyo, uliopo Kitongoji cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar
es Salaam. Kulia ni Kiongozi Mkuu wa Jumuiya hiyo nchini, Sheikh Tahir
Mahmood Chaudhry. Masauni ambaye aliiwakilisha Serikali katika Mkutano
huo, katika hotuba yake aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine
za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika
jamii kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na
maadili yao kiroho. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto)
akipokea zawadi ya vitabu vya dini kutoka kwa Kiongozi Mkuu wa Jumuiya
ya Waislamu wa Ahmadiyya nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry wakati
Naibu Waziri huyo alipomaliza kuufungua Mkutano wa Jumuiya hiyo wa 47
unaoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo
Kitongoji cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam.
Masauni ambaye aliiwakilisha Serikali katika Mkutano huo, katika hotuba
yake aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini
kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii kwa kuwapatia
waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao kiroho.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Sehemu
ya Waumini wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya nchini wakimsikiliza
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo
pichani) wakati alipokuwa anatoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa 47 wa
Jumuiya hiyo unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo,
uliopo Kitongoji cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es
Salaam. Masauni ambaye aliiwakilisha Serikali katika Mkutano huo, katika
hotuba yake aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini
nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii kwa
kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao
kiroho. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
EmoticonEmoticon