WANANCHI WAFUNGA BARABARA MKOANI MWANZA BAADA YA MTOTO KUGONGWA NA GARI.

May 16, 2016
Wananchi na Wakazi wa Kata ya Kisesa, Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza, mapema leo wamefunga barabara ya Mwanza-Musoma katika eneo la Kisesa na hivyo kusababisha abiria wanaoingia Jijini Mwanza kutoka Mikoani kukwama barabarani kwa zaidi ya saa moja.
Bonyeza HAPA Kusoma Zaidi

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »