Washiriki
 wa Mkutano wa kwanza wa Mifuko ya Maendeleo ya Jamii TASAF kuhusu 
mpango wa Uhawilishaji wa Fedha na kunusuru kaya masikini kwa Nchi 
Jumuiya ya Afrika wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
 Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akifungua mkutano leo Mei 
16, 2016 katika Hoteli ya Ngurudoto Mjini Arusha. 
                          
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akisalimiana na Wajumbe wa Mkutano wa kwanza wa Mifuko ya Maendeleo ya 
Jamii TASAF kuhusu mpango wa Uhawilishaji wa Fedha na kunusuru kaya 
Masikini kwa Nchi Jumuiya za Afrika uliofunguliwa leo Mei 16, 2016 
katika Hoteli ya Ngurudoto Mjini Arusha. 
Makamu
 wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi 
ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angela 
Kairuki kabla ya kufungua Mkutano wa kwanza wa Mifuko ya Maendeleo ya 
Jamii TASAF kuhusu mpango wa Uhawilishaji wa Fedha na kunusuru kaya 
masikini kwa Nchi Jumuiya ya Afrika wakimsikiliza Makamu wa Rais wa 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua 
akifungua mkutano leo Mei 16, 2016 katika Hoteli ya Ngurudoto Mjini 
Arusha.
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akizungumza na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia anaeshuhulikia Nchi za 
Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Bibi. Bella Bird walipokutana 
katika ukumbi wa Mikutano wa Ngurudoto Mjini Arusha leo Mei 16, 2016, 
ambapo Makamu wa Rais alifungua mkutano wa kwanza wa TASAF kuhusu 
Uhawilishaji wa Fedha na kunusuru kaya masikini kwa Nchi Jumuiya ya 
Afrika.
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri uya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Chiku Galawa kwa ajili 
ya kukabiliana na uhaba wa Madawati. Jumla ya  Madawati Elfu 16.5 yenye 
thamani ya Tshs. 1 Bilioni moja zilikabidhiwa kwa Wakuu wa Mikoa 
inayozunguka Mbuga ya Hifadhi ya Taifa kwa ajili yakukabiliana na tatizo
 la Madawati kwenye Shule zote zilizomo katika Wilaya za Mkoa hiyo. 
Makabidhiano hayo yamefanyika leo Mei 16,2016 katika ukumbi wa Ngurudoto
 mjini Arusha.katikati waziri wa Maliasili Utalii Profesa Jumanne 
Magembe.       
 
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri uya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akikabidhi Hundi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela  kwa ajili
 ya kukabiliana na uhaba wa Madawati. Jumla ya Madawati Elfu 16.5 yenye 
thamani ya Tshs. 1 Bilioni moja zilikabidhiwa kwa Wakuu wa Mikoa 
inayozunguka Mbuga ya Hifadhi ya Taifa kwa ajili yakukabiliana na tatizo
 la Madawati kwenye Shule zote zilizomo katika Wilaya za Mkoa hiyo. 
Makabidhiano hayo yamefanyika leo Mei 16,2016 katika ukumbi wa Ngurudoto
 mjini Arusha. Katikati waziri wa Maliasili Utalii Profesa Jumanne 
Magembe (Picha na OMR) 
EmoticonEmoticon