Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wafanyakazi wa Ofisi ya 
Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London wakati alipoondoka 
kwenye hoteli ya Intercontinental kurejea Dae es salaam Mei 15, 2016 
 Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman. (Picha na Ofisi ya 
Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon