Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi
(kulia) wakati alipomuuliza swali katika kipindi cha Maswali kwa Waziri
Mkuu, bungeni Mjini Dodoma Aprili 28, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni mjini Dodoma Aprili 28, 2016.
Mbunge wa Welezo, Saada Salum Mkuya akichangia Bungeni Mjini Dodoma Aprili 28, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph
Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Aprili 28, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mahonda, Bahati Ali
Abeid kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 28, 2016. Kushoto ni
Mbenge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt.
Hussein Mwinyi.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kwahani na Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi (kushoto) kwenye
viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 28, 2016. Katikati ni Mbunge wa
Mahonda, Bahati Ali Abeid
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Bariadi na Mwenyekiti
wa Bunge Mtemi Andrew Chenge kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Aprili 28, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon