Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki (EAC) akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzanua Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati na Waziri Mkuu Mh. Majaliwa
Kassim Majaliwa wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva
Kiir Mayardit wakati Rais Kiir alipowasili Ikulu na kupokelewa na kwa
ajili ya kutia kusani mkataba wa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki
Leo April 15,2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzanua Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa
Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit wakati Rais Kiir
alipowasili Ikulu na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki (EAC) kwa ajili ya kutia kusani mkataba wa kujiunga na
Jumuiya ya Afrika Mashariki Leo April 15,2016.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzanua Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa
Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit wakati Rais Kiir
alipowasili Ikulu na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki (EAC) kwa ajili ya kutia kusani mkataba wa kujiunga na
Jumuiya ya Afrika Mashariki Leo April 15,2016, Kushoto ni Waziri Mkuu
Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir Mayardit akikagua gwaride la heshima wakati Rais Kiir alipowasili Ikulu leo.
Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini
Mhe. Salva Kiir Mayardit wakati Rais Kiir akiwapungia mikono viongozi
mbalimbali huku akiongozana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano
ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki (EAC) wakati alipowasili Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki CEAC) na Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva
Kiir Mayardit wakati Rais Kiir wakibadilishana hati za makubaliano ya
kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kusaini
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki (EAC), Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Mhe. Salva Kiir
Mayardit wakati Rais Kiir. Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Hassan Suluhu
na Waziri Mkuu Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa wakiwa katika picha ya
pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo ya utiaji
saini.