Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
Sanaa na Utamaduni (TaSUba) Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto
akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia wakati wa ziara ya Mh. ya
Mheshimiwa Waziri aliyoifanya katika Taasisi hiyo iliyopo Bagamoyo
kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili. (Picha na Benjamin
Sawe- WHUSM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akiangalia moja
ya tuzo ya ubora iliyopewa taasisi hiyo Afrika Mashariki wakati wa ziara
ya Mheshimiwa Waziri aliyoifanya katika Taasisi hiyo iliyopo Bagamoyo
kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili.Kushoto ni Kaimu
Mtendaji Mkuu wa TaSUba Bw. Michael Kadinde (Picha na Benjamin Sawe-
WHUSM).
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
Sanaa na Utamaduni (TaSUba) Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto
akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia wakati wa ziara ya Mh. ya
Mheshimiwa Waziri aliyoifanya katika Taasisi hiyo iliyopo Bagamoyo
kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili. (Picha na Benjamin
Sawe- WHUSM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akimuuliza jambo
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUba) Bw.
Michael Kadinde kushoto wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo
kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili. (Picha na Benjamin
Sawe- WHUSM).
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba) Bw. Michael Kadinde wa kwanza
kushoto akimuonyesha Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia ramani mpya ya taasisi hiyo wakati
wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na
changamoto zinazowakabili. (Picha na Benjamin Sawe-
Mwenyekiti wa Tamasha la Sanaa na
Utamaduni la Bagamoyo Mwalimu John Mponda akionyesha umahiri wa kucheza
ngoma mbele ya Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mh. Anastazia Wambura hayupo pichani wakati wa ziara aliyoifanya
katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto
zinazowakabili. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya
Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba) Bw. Michael Kadinde wa kwanza
kushoto akimuonyesha Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sanaa Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Leah Kihimbi katikati moja ya sanaa
iliyotengenezwa na wanafunzi wa taasisi hiyo wakati wa ziara aliyoifanya
Mh. Wambura katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto
zinazowakabili, wa kwanza kulia ni Afisa Mipango wa taasisi hiyo Bw.
Emanuel Bwire. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Nuru Khalfan Mrisho kulia
akionyesha zawadi aliyopewa na Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
(TaSUba),anayemkabidhi ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Bw.
Michael Kadinde. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa pili kutoka kulia
akiongea na watumishi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
(TaSUba) hawapo pichani wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo
kujionea utendaji kazi na changamoto zinazoikabili taasisi hiyo, wa
kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Nuru Khalfan
Mrisho. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Nuru Khalfan Mrisho kulia
akionyesha zawadi aliyopewa na Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
(TaSUba),anayemkabidhi ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Bw.
Michael Kadinde. (Picha na
Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa nne kutoka kushoto
waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa ngoma wakati wa
ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na
changamoto zinazowakabili,wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara
hiyo Bi. Nuru Khalfan Mrisho na wa kwanza kushoto ni Mtendaji Mkuu wa
TaSUba Bw. Michael Kadinde. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
EmoticonEmoticon