Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akijadiliana jambo na
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti inayohusiana na
maendeleo ya Ustawi Nchini (REPOA) Professa Yadon M Kohi, kabla ya
kufungua Warsha ya 21 ya Mwaka kwa Wasomi na Watafiti wa mambo ya
maendeleo ya Uchumi wa Viwanda iliyoanza leo April 06,2016 katika Hoteli
ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Warsha ya 21 ya
Mwaka kwa Wasomi na Watafiti wa mambo ya maendeleo ya Uchumi wa Viwanda
iliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti inayohusiana na maendeleo ya Ustawi
Nchini (REPOA) Warsha hiyo imefunguliwa leo April 06,2016 katika
Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa katika
picha ya pamoja na Washiriki, Wasomi na Watafiti wa mambo ya maendeleo
ya Uchumi wa Viwanda baada ya kufungua Warsha ya 21 ya Mwaka kwa
washiriki hao inayojadili kuhusu uendelezaji wa Utafiti wa Uchumi wa
Viwanda Nchini. Warsha hiyo imefunguliwa leo April 06,2016 katika Hoteli
ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Mwenyekiti wa
bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti inayohusiana na maendeleo ya
Ustawi Nchini (REPOA) Professa Yadon M Kohi, baada ya kufungua Warsha ya
21 ya Mwaka kwa Wasomi na Watafiti wa mambo ya maendeleo ya Uchumi wa
Viwanda leo April 06,2016 katika Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach
jijini Dar es salaam. (Picha na OMR)
EmoticonEmoticon