Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mh.
Luhaga Mpina Kulia Akifyeka, katika Mtaa wa TPDC Mikocheni Jijini Dar es
Salam leo kutekeleza agizo la Mh. Raisi la kufanya usafi, ambapo
serikali imetenga kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi kuwa siku maalum ya
usafi.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira Mh.
Luhaga Mpina, akifanya usafi katika mtaro wa maji machafu katika mtaa wa
TPDC, maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya
utekelezaji wa siku ya usafi jumamosi ya mwisho wa mwezi.
Kulia
Bi Blandika Cheche Afisa Mazingira mkuu, na katikati Mkururugenzi wa
Baraza la Taifa la Hifadhi na usimamizi wa mazingira NEMC Bw.
Boniventure Baya wakifanya usafi kwa pamoja katika mtaa wa TPDC,
Mikocheni Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la
serikali, la kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi la kufanya usafi wa
mazingira.
Aliyevaa
shati ya blue Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na
Mazingira mh Luhaga Mpina akiweka taka katika gari la kuzolea taka
katika mtaa wa TPDC Mikocheni JIjini Dar es salaam leo, Jumamosi ya
mwisho wa Mwezi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Serikali la
usafi wa Mazingira .
(Picha zote na Evelyn Mkokoi wa Makamu wa Rais)
EmoticonEmoticon