Rais Dk. John Pombe Magufuli
amevamia tena leo katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili na kutembelea
wagonjwa mbalimbali pamoja na kuzungumza nao, ili kujua matatizo
wanayokabiliana nayo katika kupata huduma, Dk. Magufuli pia amemjulia
hali Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC Mama
Hellen Kijo Bisimba ambaye amelazwa hospitalini hapo kutokana na
majereaha aliyoyapata wakati alipopata ajali na gari lake maeneo ya
Upanga jijini Dar es salaam na kulazwa hospitalini hapo.
Rais Dk. John Pombe
Magufuli Mkurugenzi wa Kituo Sheria na haki za binadamu LHRC Mama
Hellen Kijo Bisimba ambaye amelazwa hospitalini hapo kutokana na
majereaha aliyoyapata wakati alipopata ajali na gari lake maeneo ya
Upanga jijini Dar es salaam na kulazwa hospitalini hapo.
EmoticonEmoticon