Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwaeka jiwe la msingi la mradi mkubwa wa jengo
la makazi na biashara la Morocco Square ambao ni mkubwa kwa eneo hili la
Afrika Mashariki ambao umejengwa katika msingi mmoja. Wanaoshuhudia nia
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu,
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe
Lukuvi na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB PLC LTD, Dk Charles Kimei.
Mradi
huu una uwezo wa kubeba watu 6000 na kutoa ajira ya zipatazo
24,750. Mradi huu una majengo manne tofauti, ikiwemo ya ghorofa 22 kwa
ajili ya nyumba 100 za makazi za vyumba vitatu na vinne, ghorofa 20 na
17 kwa ajili ya Ofisi na maduka makubwa na ghorofa 13 kwa ajili ya
Hoteli yenye vyumba vya kulala 81. Mradi huu una eneo maalum la kutua
helkopta na eneo kubwa kwa ajili ya maegesho ya magari.
Jengo la NHC Morocco Square litakavyokuwa mara baada ya kukamilika.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya mradi wa Morocco Square kutoka kwa Mkurugenzi wa Ubunifu wa NHC, Issack Peter
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya mradi wa Morocco Square kutoka kwa Mkurugenzi wa Ubunifu wa NHC, Issack Peter.
Baadhi ya wafanyakazi wa NHC na wageni waalikwa waliokuwapo katika shughuli hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa NHC na wageni waalikwa waliokuwapo katika shughuli hiyo.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii Susan Omari
akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Zakhia Meghji wakati akiingia
katika eneo la tukio.
Rais Kikwete akiwasili katika eneo lililowekwa jiwe la msingi la Morocco Square.
Rais Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa NHC wakati akiwasili eneo la tukio.
Rais Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa NHC wakati akiwasili eneo la tukio.