MKutano wa CCM Jimbo la Shauri Moyo

October 07, 2015

8
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi  CCM  wakati alipowasili uwanja wa Urafiki Jimbo la Shaurimoyo Oktoba 7, 2015.katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zinazoendelea.
7
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini wakati alipowasili uwanja wa Urafiki katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Jimbo la Shaurimoyo Oktoba 7, 2015.
9
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanachama wa CCM na Wananchi  wakati alipowasili uwanja wa Urafiki Jimbo la Shaurimoyo leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zinazoendelea, (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,
10
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakiimba wimbo wa Chama na Viongozi wengine  wakati alipowasili uwanja wa Urafiki Jimbo la Shaurimoyo leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zinazoendelea.
11
Vijana wa Chamacha Mapinduzi walipokuwa wakiimba maalum wa kuhamasisha  wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Urafiki Jimbo la Shaurimoyo Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
4
Baadhi ya wanachama na Vijana wa CCM wakishangilia wakati Viongozi wa Chama walipokuwa wakiwasili katika uwanja wa Urafiki leo wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
5 6
    Vijana wa CCM wakicheza muziki ulioporomoshwa na kikundi cha CCM Amani Bigstar  Viongozi wa Chama walipokuwa wakiwasili katika uwanja wa Urafiki  katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,
3
Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakiongozana kuelekea katika uwanja wa Urafiki katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika ,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »