Mwigulu Nchemba ,January Makamba katika kampeni za ccm BUMBULI NA MALALO

October 07, 2015


Mzee yupo tayari kwa kupiga kura kumchagua Rais,Mbunge na Diwani wa Chama cha Mapinduzi.
January Makamba akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Mamba,Kubwa ametekeleza Upatikanaji wa Umeme,Usambazi wa maji na uanzishwaji wa kituo cha Afya.
January Makamba chaguo la Wanabumbuli.
Watoto nao ni Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi kwa uongozi Ujao.
“Mabadiliko ya kweli yapo CCM”
January Makamba akinadi sera zake na kuzungumzia Utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa jimbo la Bumbuli kata ya Mbuzii.
Vijana wa kazi wa Chama cha Mapinduzi wakiwasili kata ya Dule.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »