Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika foleni akisuburi zamu yake ya kupiga kura leo katika kituo
cha hospitali ya kijiji cha Msoga kata ya Msoga wilayani Bagamoyo
Oktoba 25, 2015.
Ofisa katika kituo cha kupigia
kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga akihakiki kadi ya
kupiga kura ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Ofisa katika kitu cha kupiga kura akimkabidhi Rais Kikwete karatasi za kupiga kura.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiandika kura yake ya siri.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura cha
hospitali ya kijiji cha Msoga,Kata ya Msoga wilayani Bagamoyo Oktoba 25,
2015.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwekwa wino na msimamizi wa kituo unaotambulisha kuwa amepiga kura.
(Picha na Freddy Maro)
EmoticonEmoticon