NEC YAKUTANA NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI SEPTEMBA 30 JIJINI DAR ES SALAAM

October 01, 2015
 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu,Damian Lubuva akizungumza na wamiliki  wa vyombo vya habari (hawapo pichani) jinsi ya tume hiyo inavyofanya kazi kuelekea uchagauzi Mkuu katika mkutano ulifanyika leo katika Ukumbi wa Serena jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk.Reginard Mengi akichangia maada katika mkutano wa Wamiliki na Vyombo vya habari  uliotishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) uliofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Waamiliki wa Vyombo na waandishi habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu ,Damiani Lubuva (hayupo pichani)katika mkutano uliotoshwa na tume hiyo kuelekea uchagauzi Mkuu uliofanyaika leo jijini Dar es Salaam. Source: Michuzi Media.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »