MKUTANO WA CCM SHAURIMOYO UNGUJA

October 07, 2015

mmmmmmmmm
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika uwanja wa Urafiki,jimbo la Shaurimoyo katika wilaya ya mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Oktoba 7, 2015.
Picha na Ikulu.
mmmmmmmmmmm
Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakiimba wimbo wa kuhamasisha wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika leo uwanja wa Urafiki jimbo la Shaurimoyo Wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »