Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii, Mohamed Mgimwa, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kuhutubia wananchi wa Kijiji cha Idetero
Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa, wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la
Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Vituo vya Mapumziko na Vyoo vya Wasafiri
katika Barabara Kuu nchini, leo Okt 17, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa
Kijiji cha Idetero Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa, wakati wa hafla ya
uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Vituo vya Mapumziko na
Vyoo vya Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, leo Okt 17, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa
kuweka Jiwe la Msingi la wa Mradi wa Vituo vya Mapumziko na Vyoo vya
Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, wakati wa hafla ya kuweka jiwe la
Msingi iliyofanyika katika Kijiji cha Idetero Wilaya ya Mufindi Mkoani
Iringa leo, Okt. 17, 2015.
Baadhi ya Vijana wa Jeshi la KIjenga Taifa wakiendelea na ujenzi wa Mradi huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo ya
ujenzi huo kutoka kwa msimamizi wa Ujenzi, Stanley Ndosite Nzowa,
wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Vituo
vya Mapumziko na Vyoo vya Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, leo Okt
17, 2015.
Picha na OMR
EmoticonEmoticon