Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
CCM,Dkt John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza
ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo Filikunjombe na wenzake
wawili waliofariki katika ajali ya helikopta juzi katika pori la akiba
la mbuga ya Selous. Marehemu aliagwa katika hospitali ya jeshi Lugalo
jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.PICHA NA MICHUZI JR.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
CCM,Dkt John Pombe Magufuli akimfariji Mke wa Marehemu Bi Sarah
Filikunjombe wakati wa kuaga mwili wa marehemu katika hospitali ya jeshi
Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.
Mke
wa Marehemu Bi Sarah Filikunjombe akilia kwa uchungu kufuatia kifo cha
Mumwe Deo Filikunjombe,wakati wa kuaga katika hospitali ya jeshi Lugalo
jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015.
Dkt
Magufuli akifarijiana na Mh.Zitto Kabwe wakati wa kuaga mwili wa
marehemu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba
17, 2015.
Dkt
Magufuli alishindwa kujizuia kutoa machozi ya huzuni wakati wa kuaga
mwili wa marehemu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam
Oktoba 17, 2015.
Majeneza
yenye miili ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deogratias Filikunjombe na
ndugu zake, Plasdus Ngabuma na Casablanga Haule yakiwa yamewekwa mbele
ya waombolezaji wakati wa kuaga katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam Oktoba 17, 2015. kabla ya kusafirishwa kwenda Ludewa kwa mazishi mkoani Njombe.
EmoticonEmoticon