Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi
alipowasili katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini
A,palipofanyika Swala ya EID El Hajj iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa
Kaskazini Unguja leo Septemba 24, 2015.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi
alipowasili katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini
A,palipofanyika Swala ya EID El Hajj iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa
Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto)
akijumuika na Viongozi mbali mbali na Waislamu katika Uwanja vya Mpira
Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A,palipofanyika Swala ya Eid El Hajj
iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo iliyoongozwa na
Sheikh Mmadi Shamata Kutoka Msikiti wa Kijiji cha Nungwi.
Viongozi mbali mbali na Waislamu
wakiwa katika Swala ya Eid El Hajj katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni
Wilaya ya kaskazini A, iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini
Unguja leo iliyoongozwa na Sheikh Mmadi Shamata Kutoka Msikiti wa Kijiji
cha Nungwi.
Akina mama wa Kijiji cha Mkokotoni
na Vijiji Jirani walijumuika katika Swala ya Eid El Hajj katika Uwanja
vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A, iliyoswaliwa kitaifa katika
Mkoa wa Kaskazini Unguja leo iliyoongozwa na Sheikh Mmadi Shamata Kutoka
Msikiti wa Kijiji cha Nungwi.
Akina mama wakiwa katika kiwanja
cha mpira Kijiji cha Mkokotoni wakisikiliza Hotuba ya Swala ya Eid El
Hajj iliyotolewa na Sheikh Mmadi Shamata Kutoka Msikiti wa Kijiji cha
Nungwi,baada ya kumalizika kwa ibada ya swala iliyoswaliwa leo kijijini
hapo ikiwa ni kawaida ya swala za Eid El Haji kuswaliwa katika Wilaya
mbali mbali za Unguja na Pemba.
Sheikh Mmadi Shamata Kutoka
Msikiti wa Kijiji cha Nungwi,akitoa Khutba ya swala ya Eid El Hajj mbele
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (wa pili kulia) pamoja na Viongozi mbali mbali waliojumuka
katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A,palipofanyika
Ibada hiyo.
Wananchi na waumini wa Dini ya
Kiislamu wakisikiliza Khutba iliyotolewa leo na Sheikh Mmadi Shamata
baada ya kuwaswalisha katika Swalaya Eid El Hajj iliyofanyika katika
uwanja wa mpira Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini
Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na baadhi ya
Watoto baada ya kumalizika kwa Ibada ya Swala ya EID El Hajj
iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo katika Uwanja
wa mpira wa Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na baadhi ya
Mashekhe wa Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja na Viongozi
baada ya swala ya Eid El Hajj mazungumzo hayo yalifanyika leo katika
ukumbi Ikulu ya Mkokotoni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifanya mahojiano na
Watoto Nabiel Mohammed (mwenye maiki) na Ahmed Mohammed wa kipindhi cha
watoto katika (ZBC) Shirika la Utangazaji Zanzibar katika kusherehekea
Sikukuu ya Eid El Hajj,mahijiano yalifanyika leo katika Ikulu ya
Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A Mkoa wa Kaskakazini Unguja,
[Picha zote na Ikulu.]
EmoticonEmoticon