ABDULRAHMAN KINANA:SIFA YA KWANZA YA KIONGOZI NI UADILIFU SI KUJENGA BARABARA WALA SHULE

March 19, 2015

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mh. Mwilima Husna Mwilima mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Kisongo kwa ajili ya kukagua mradi wa ujenzi wa daraja wakati akiwa katika ziara ya kikazi mkoa wa Arusha akifuatilia na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishieiki kumwaga zege kwa kutumia toroli wakati alipokagua ujenzi wa daraja la Kisongo wilayani Arumeru. 5 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akirudisha toroli mara baada ya kumwaga zege katika ujenzi wa daraja hilo. 7 
Hili ndilo daraja lenyewe  8 
Nape Nnauye akiongozana na wananchi wa kijiji cha Nduruma wilayani Arumeru wakati alipofika kijiji hapo kusikiliza kero za wananchi. 10 
Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Mh. Gudluck Ole Medeye 11 
Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Mh. Gudluck Ole Medeye akizungumza jambo wakati Abdulrahman Kinana kushoto alipotembelea na kukagua ujenzi wa kituo cha afya cha Manyire kata ya Malangarini , wa kwanza kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi na wa pili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Ole Nangole. 13 
15 
Shule ya sekondari ya Sokoni II ambayo Kinana alikagua ujenzi wake pia.20 
Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Mh. Gudluck Ole Medeye akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye shule ya msingi ya Ngaramtoni kata ya Olturumet.23 

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »