Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Bwana
Gabriel Lyimo Nderumaki ( wa pili kutoka kushoto) akielezea masuala
mbali mbali yanayohusu tasinia ya habari wakati wa mkutano na Katibu wa
NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye uliofanyika kwenye ofisi za
Kampuni ya Magazeti ya Serikali,Tazara jijini Dar es Salaam.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa kikao chake
na Viongozi na waandishi wa Magazeti ya Serikali alipowatebelea leo
ikiwa sehemu ya utaratibu wake wa kutembelea vyombo vya habari.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na wahariri wa Magazeti ya Serikali.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimina na Mhariri Mkuu wa
Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania kwenye ofisi za magazeti hayo
mtaa wa Mwinyijuma,Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akionyeshwa sehemu ya waandishi
wanapoandaa habari na Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia
Tanzania
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na baadhi ya viongozi
na wahariri wa gazeti la Raia Tanzania na Raia Mwema.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na wahariri wa gazeti la Raia Mwema na Raia Tanzania.