Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya
Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali
ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said
Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum
kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za
Kimarekani 500,000 sawa na shiingi milioni 805 za kibongo.
Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa |
EmoticonEmoticon