Rais Dk.Shein na Marais mbali mbali katika uzinduzi wa Mpamgo wa WIOCC SAMOA.

September 04, 2014

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Mambo ya nje ya nchi wa Seychels Jeun-Paul Adam baada ya Waziri huyo kutoa hotuba yake katika Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani namabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.] IMG_3346  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake katika Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa   ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa  Nchi za Visiwa unaendelea.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.],[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.] IMG_3349  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Bibi Fatma  Abdulhabib Fereji,pamoja na viongozi wengine wakiwa katika  Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.] IMG_3359 
Baadhi ya washiriki katika uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea wakifuatilia kwa makini hutuba mbali mbali zilizotolea na Viongozi kutoka Nchi tofauti,(kushoto) Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaifa Mahadhi Juma Maalim.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.] IMG_3363  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)akiteta na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Bibi Fatma  Abdulhabib Fereji, katika  Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea katika nchi hiyo.[Picha na Ramadhan Othman,Samoa.]

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »