Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Rais Robert Gabriel Mugabe wa
Zimbabwe akimkabidhi Bi. Sheila Hashim Mbita, binti yake Brigedia
Jenerali Mstaafu Hashim Mbita Tuzo ya Juu ya Taifa la Zimbabwe ya
Nishani ya Royal Order Of Mwanamutapa kwa kutambua mchango wake katika
ukombozi wa Taifa la Zimbabwe na nchi nyingine kusini mwa Afrika.Rais
Mugabe alikabidhi tuzo hiyo wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa 34
wa wakuu wa SADC unaofanyika katika mji wa kitalii wa Victoria Falls,
nchini Zimbabwe.(pictha na Freddy Maro)
EmoticonEmoticon