Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika
Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya
Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak
Obama Julai 5, 2014.
Rais
Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi
wa Afrika na Marekani ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika
ukumbi wa State Department jijini Washington DC leo Julai 6, 2014.
Waziri
wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry anaelekeza namna ya kutumia
kipaza sauti baada ya Rais Obama kufungua mkutano huo, wakati
mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Rais Mohamed Ould Abdel Aziz alipoongea kwa niaba ya Viongozi wa Afrika.PICHA NA IKULU.
EmoticonEmoticon