Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akipokea
saluti mara baada ya kuwasili kwenye ufunguzi wa kiwanja kipya cha
Michezo kilichopo Makao Makuu ya Brigedi ya Nyuki Migombani.
Jenerali
Davis Mwamunyange akifungua kiwanja kipya cha Michezo kitakachotumika
kwa ajili ya michezo ya Majeshi ya Shirikisho la Jumuia ya Afrika
Mashariki, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi na
kushoto ni Mkuu wa Brigedi ya Nyuki, Brigedia Jenerali Sharif Sheikh
Othman.
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akimpongeza
Mkandalasi wa kiwanja hicho kutoka Kampuni ya M. S Maya Heardwere ya
Zanzibar Bw. Abdallah M. Salim.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania
Jenerali Davis Mwamunyange akizungumza na wanahabari mara baada ya
ufunguzi wa kiwanja hicho Migombani Zanzibar jana Agosti 19. (Picha na
Makame-Maelezo Zanzibar).
EmoticonEmoticon