Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt.Ali Mohamed
Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Idara Maalum za SMZ katika
mkutano wa utekelezaji mpango kazi wa robo tatu ya mwaka Machi-Julai 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi.
Baadhi
ya makamanda wa Idara maalum za SMZ wakimsikiliza Waziri wa Ofisi ya
Rais,Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ,Mhe,Haji Omar Kheri (hayupo
pichani) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji mpango kazi wa robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
EmoticonEmoticon