March 18, 2014

JAJI WARIOBA AWASILISHA RASIMU YA PILI YA KATIBA MPYA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba akiwasilisha Rasimu ya Katiba  mpya mbele ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, bungeni mjini Dodoma Machi 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A2567 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwenyekiti wa Tume ya  Mabmadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba (kushoto) baada ya Mwenyekiti huyo kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya bele ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bungeni Mjini Dodoma Machi 18, 2014.Wengine ni Makamu Mwenyekiti wa Bunge  Maalum la Katiba, Samia Suluhu (kuli), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, Profesa  Anna Tibaijuka,  Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (watatu kushoto) na  watatu kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani  , Mathias Chikawe. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »