Mhariri
wa michezo wa Gazeti la Mtanzania Mwani Nyangasa (katikati) na
mtayarishaji wa kurasa, Zuhura Sufiani (kushoto) wakipozi na magazeti ya
Mtanzania wakati wakifanya Promosheni ya gazeti hilo lililoanza kuingia
rasmi mtaani jana Desemba 27, baada ya kufungiwa kwa miezi mitatu.
Mhariri
Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006 Ltd, Absalom Kibanda (katikati)
akijumuika na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa kulinadi gazeti lao
lililotoka kifungoni na kuanza kuingia mtaani rasmi jana Desemba 27.chanzo sufianimafotoblog


EmoticonEmoticon