Nieleze mikakati yako katika kundi lenu la Majuto Units.

April 17, 2013
Mtayarishaji wa Filamu ya "Kitu Bomba"ambayo itaangia sokono hivi karibuni ambaye pia ni mtoto wa nne wa mzee Majuto na Msemaji wa familia yao Hamza Majuto akizungumza na mmiliki wa blog hii Oscar Assenga kwenye ofisi za Kampuni ya New Habari Cooperation jijini Tanga jana,Picha na Mwandishi wetu,Tanga.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »